Vipi kuhusu wale ambao alama ya mitiani yao xio hizo
Je waliowekewa alama zisizo sawa na mitiani yao mnawasaidiaje au kunahatua gani wachukue ?.
Vipi kuhusu alama ambazo zlikosewa kutypiwa yaani kulikua na typing error
Kama huakujaziwa Marks kwenye somo au uliingiziwa maks ambazo zina kasoro yoyote, utaratibu unajulikana kuwa (UNALETA HUO MTIHANI WAKO OFFICE YA COMPUTER LAB) then UNAREKEBISHIWA alafu tunaya UPDATE MATOKEO.
Ok thanks kwa kunijibu swali langu...Wakati mwingine nitafanya hivyo. Kazi njema...
Vipi kuhusu wale ambao alama ya mitiani yao xio hizo
ReplyDeleteJe waliowekewa alama zisizo sawa na mitiani yao mnawasaidiaje au kunahatua gani wachukue ?.
ReplyDeleteVipi kuhusu alama ambazo zlikosewa kutypiwa yaani kulikua na typing error
ReplyDeleteKama huakujaziwa Marks kwenye somo au uliingiziwa maks ambazo zina kasoro yoyote, utaratibu unajulikana kuwa (UNALETA HUO MTIHANI WAKO OFFICE YA COMPUTER LAB) then UNAREKEBISHIWA alafu tunaya UPDATE MATOKEO.
ReplyDeleteOk thanks kwa kunijibu swali langu...
ReplyDeleteWakati mwingine nitafanya hivyo. Kazi njema...