IDARA YA ICT PAMBA SECONDARY INAKULETEA MAFUNZO YA COMPUTER MUDA WA JIONI KWA PROGRAM ZIFUATAZO:- INTRODUCTION TO COMPUTERS, MICROSOFT OFFICE WORD, MICROSOFT OFFICE EXCEL, MICROSOFT OFFICE POWERPOINT, MICROSOFT OFFICE PUBLISHER, MICROSOFT OFFICE ACCESS, INTERNET & E-MAIL, ADOBE PHOTOSHOP & WEBSITE DESIGN. KWA MAWASILIANO: 0768-894159

Friday, December 9, 2022

FORM THREE ANNUAL EXAMINATIONS RESULT

5 comments:

  1. Vipi kuhusu wale ambao alama ya mitiani yao xio hizo

    ReplyDelete
  2. Je waliowekewa alama zisizo sawa na mitiani yao mnawasaidiaje au kunahatua gani wachukue ?.

    ReplyDelete
  3. Vipi kuhusu alama ambazo zlikosewa kutypiwa yaani kulikua na typing error

    ReplyDelete
  4. Kama huakujaziwa Marks kwenye somo au uliingiziwa maks ambazo zina kasoro yoyote, utaratibu unajulikana kuwa (UNALETA HUO MTIHANI WAKO OFFICE YA COMPUTER LAB) then UNAREKEBISHIWA alafu tunaya UPDATE MATOKEO.

    ReplyDelete
  5. Ok thanks kwa kunijibu swali langu...
    Wakati mwingine nitafanya hivyo. Kazi njema...

    ReplyDelete