IDARA YA ICT PAMBA SECONDARY INAKULETEA MAFUNZO YA COMPUTER MUDA WA JIONI KWA PROGRAM ZIFUATAZO:- INTRODUCTION TO COMPUTERS, MICROSOFT OFFICE WORD, MICROSOFT OFFICE EXCEL, MICROSOFT OFFICE POWERPOINT, MICROSOFT OFFICE PUBLISHER, MICROSOFT OFFICE ACCESS, INTERNET & E-MAIL, ADOBE PHOTOSHOP & WEBSITE DESIGN. KWA MAWASILIANO: 0768-894159

Sunday, April 17, 2016

RATIBA YA ZOEZI LA UHAKIKI WA WAFANYAKAZI WA HALIMASHAURI YA JIJI LA MWANZA HII HAPA



TANGAZO
SHULE YA SEKONDARI PAMBA IMEFUNGULIWA RASMI LEO TAREHE 18/04/2016 NA MASOMO YATAENDELEA KAMA KAWAIDA KWA KUFUATA RATIBA ZOTE ZA SHULE NA MUONGOZO WA WIZARA YA ELIMU KAMA ILIVYOADA KWA SHULE ZOTE ZA SERIKALI BAADA YA KUTOKA KWENYE LIKIZO FUPI YA MIDTERM. RATIBA ZA VIPINDI  ZINAPATIKANA KWENYE UBAO WA MATANGAZO NA TAARIFA ZINGINE ZIPO OFISI YA TAALUMA

No comments:

Post a Comment