SHULE YA PAMBA SECONDARY IMEFUNGWA RASMI TAREHE 08/04/2016 NA ITAFUNGULIWA RASMI TAREHE 18/04/2016 KWA AJILI YA LIKIZO FUPI YA MIDTERM. KWA MUJIBU WA TAARIFA YA MKUU WA SHULE YA PAMBA AMESEMA VIDATO VYOTE VYA MITIHANI (FORM TWO, FORM IV NA FORM VI) WATAENDELEA KUJA SHULE KAMA KAWAIDA ILA KWA VIDATO VINGINE NI HIARI YA MWANAFUNZI MWENYEWE KUJA KUJISOMEA.
BY
Sir. Mduma
No comments:
Post a Comment