CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE)-MWANZA
CHUO CHA MASOMO YA ELIMU YA BIASHARA (CBE) -MWANZA KINAWAJULISHA KWAMBA TAREHE (30/06/2025) MPAKA TAREHE (04/07/2025) TUTAKUWEPO PAMBA SEKONDARI KWA AJILI YA KUFANYA UDAHILI KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE WENYE UFAULU KUANZIA "D" NNE. MUDA NI KUANZIA SAA 2:00 ASUBUHI MPAKA SAA 10:00 JIONI. KWA MAWASILIANO PIGA NAMBA 0756-936931. KARIBU SANA
No comments:
Post a Comment