IDARA YA ICT PAMBA SECONDARY INAKULETEA MAFUNZO YA COMPUTER MUDA WA JIONI KWA PROGRAM ZIFUATAZO:- INTRODUCTION TO COMPUTERS, MICROSOFT OFFICE WORD, MICROSOFT OFFICE EXCEL, MICROSOFT OFFICE POWERPOINT, MICROSOFT OFFICE PUBLISHER, MICROSOFT OFFICE ACCESS, INTERNET & E-MAIL, ADOBE PHOTOSHOP & WEBSITE DESIGN. KWA MAWASILIANO: 0768-894159

Wednesday, May 3, 2023

FORM FOUR MIDTERM EXAMS RESULT MARCH 2023

10 comments:

  1. Kwanini matokeo yawengine hayaonekani?

    ReplyDelete
  2. Mbona masomo mengine hamjazi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Somo ambalo hujajaziwa onana na mwl wako wa somo, ndiye hajakujazia... kaangalie ni sababu gan hajakujazia...?

      Delete
  3. Onana na mwalimu wa SoMo ambalo hujajaziwa, ndiye hajakujazia....

    ReplyDelete
  4. Kazi nzuriii mzidi kuwapatia mazoezi ya kutosha👍👍

    ReplyDelete
  5. Waendelee kujitahidi wakazi but wadogo zangu

    ReplyDelete
  6. Matokeo ya terminal mpaka lini

    ReplyDelete