
Idara ya ICT PAMBA inakuletea program za mafunzo ya Computer kwa vitendo yaani (Computer Practicals) itakayofanyika muda wa jioni kuanzia saa (9:00-12:00). Course zitakazotolewa ni pamoja na INTRODUCTION TO COMPUTER, MS WORD, MS EXCEL, MS POWERPOINT, MS PUBLISHER, MS ACCESS, INTERNET & E-MAIL. Pia tunatoa huduma mbalimbali kama vile Windows All Edition Installation,Ant-virus installation, Microsoft Office Installation, Adobe Photoshop & Reader, Skype, Webcam, Scanning, Printing, Internet & E-Mail. Bei zetu ni nafuu kabisa..!! Karibuni sanaaa...! Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba: 0768-894159
No comments:
Post a Comment