ST.DAVID COLLEGE OF HEALTH SCIENCES DSM CAMPUS
TUNAPATIKANA DAR-ES-SALAAM (KIMARA TEMBONI ) MLETE MWANAO APATE ELIMU BORA KWA FAIDA YAKE
MAWASILIANO: 0624 054793/0718 229977 /0654 354949
SIFA ZA KUJIUNGA: "D3" ZA FIZIKIA, KEMIA NA BIOLOGIA
ST.DAVID COLLEGE OF HEALTH SCIENCES
CHUO KINA MAJENGO MAZURI NA YAKUVUTIACHUO CHA AFYA NA TIBA CHA ST.DAVID COLLEGE OF HEALTH SCIENCES KILICHOPO KIMARA TEMBONI, KINAKUTANGAZIA NAFASI ZA KUJIUNGA NA CHUO MWAKA WA MASOMO 2017. CHUO CHETU KINAPOKEA WANAFUNZI WA KOZI YA UTABIBU KWA NGAZI YA CHETI KWA MIAKA MIWILI.
SIFA ZA KUJIUNGA NI UFAULU WA ALAMA (D3):-
1. FIZIKIA D
2. KEMIA D
3. BIOLOGIA D
WANAFUNZI WAMEANZA KURIPOTI KWA MHULA MPYA MWEZI HUU WA PILI FEBRUARY, 2017KWA MAWASILIANO:
0624 054793
0718 229977
0654 354949
KWA UPANDE WA KANDA YA ZIWA WASILIANA NA IDARA YETU YA MASOKO YA GENERAL TANZANIA ADVERTISING (GTA) P.O. BOX 2559-MWANZAE-MAIL: gta.masokotz@gmail.com
Phone: +255769821340
+255719801962
No comments:
Post a Comment