TANGAZO
SHULE
YA SEKONDARI PAMBA IMEFUNGULIWA RASMI LEO TAREHE 18/04/2016 NA
MASOMO YATAENDELEA KAMA KAWAIDA KWA KUFUATA RATIBA ZOTE ZA SHULE NA
MUONGOZO WA WIZARA YA ELIMU KAMA ILIVYOADA KWA SHULE ZOTE ZA SERIKALI BAADA YA KUTOKA KWENYE LIKIZO FUPI YA MIDTERM. RATIBA ZA VIPINDI ZINAPATIKANA KWENYE UBAO WA MATANGAZO NA TAARIFA ZINGINE ZIPO OFISI YA TAALUMA
No comments:
Post a Comment